28,652
edits
d (roboti Nyongeza: yo:Zulu) |
d (roboti Nyongeza: cs:Zulové; cosmetic changes) |
||
[[
[[
'''Wazulu''' (''kwa [[Kizulu]]: amaZulu'') ni kabila kubwa la [[Afrika Kusini]] lenye watu milioni 9-10. Makazi yao ni hasa jimbo la [[KwaZulu-Natal]] lakini wako katika miji yote ya Afrika Kusini pamoja na vikundi vidogo zaidi katika [[Zimbabwe]], [[Zambia]] na [[Msumbiji]].
Katika historia ya Afrika Kusini ufalme wa Wazulu na upanuzi wao chini ya [[Shaka Zulu]] ni kipindi muhimu. Dola la Wazulu likatetea uhuru wake hadi [[1879]] liliposhindwa na Waingereza.
Wakati wa siasa ya [[apartheid]] Wazulu kama Waafrika wote walihesabiwa kama raia wa ngazi ya duni.
Tangu mwisho wa apartheid hushiriki kamili katika ujenzi wa taifa.
▲[[Category:Watu wa Afrika Kusini]]
[[af:Zoeloes]]
[[bn:জুলু (জাতি)]]
[[ca:Zulus]]
[[cs:Zulové]]
[[cy:Zulu]]
[[da:Zuluer]]
|