Msitu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Created page with ''''Misitu''' ni mkusanyiko wa uoto wa asili unaojumuisha miti ya aina mbalimbali na nyasi ambazo huweza kuwa fupi au ndefu. Mara nyingi wanyama mbalimbali wadogo wadogo huis...'
 
No edit summary
Mstari 2:
Mara nyingi [[wanyama]] mbalimbali wadogo wadogo huishi na hutegemea uoto huo kwa kuwatimizia mahitaji yao kwa [[malazi]] na [[chakula]].
 
Hata hivyo maisha ya binadamu hutegemea [[mazingira]] yake yanayomzunguka katika kujikimu kwani kupitia misitu mvua hunyesha na hivyo kusababisha ustawi na ongezeko la chakula kwani asilimia kubwa ya watu hutegemea [[kilimo]] ili kujipatia mahitaji yao ya kila siku hasa katika nchi za [[Africa]] ambazo ziko nyuma sana katika nyanja ya utumiaji wa teknolojia za kisasa kama utumiaji wa [[zana]] bora bora za kilimo kama matrekta.
{{mbegu}}
 
Hivyo katika kutimiza upatikanaji wa chakula kwa wingi ni lazima misitu ilindwe kwa nguvu zote katika ukuaji na ustawi wa [[jamii]].