Mwanaanga : Tofauti kati ya masahihisho

30 bytes removed ,  miaka 13 iliyopita
d
roboti Ondoa: ps:فضانوردي; cosmetic changes
d (roboti Ondoa: ps:فضانوردي; cosmetic changes)
Mwanamke wa kwanza angani alikuwa Mrusi [[Valentina Tereshkova]] mwaka 1963.
 
Wanaanga wa kwanza waliofika kwenye uso wa mwezi walikuwa Wamarekani [[Neil Armstrong]] na [[Buzz Aldrin]] tar. [[20 Julai]] [[1969]].
 
Hadi machi 2008 jumla ya watu 477 kutoka nchi 39 walifika kwenye kimo cha kilomita 100 juu ya uso wa dunia ambacho ni kimo ambako anga la nje linaanza kulingana na maelezo ya [[Shirikisho la Kimataifa kwa Usafiri wa Angani]] (Fédération Aéronautique Internationale (FAI)).
 
Kati ya hawa ni 24 waliofika mbali zaidi kuliko kilomita 2,000 juu ya uso wa dunia hadi njia ya mwezi kwenye anga.
 
Mwanaanga aliyekaa muda mrefu angani alkuwa Mrusi [[Sergei Krikalyov]] aliyefika angani mara sita akakaa jumla ya siku 803, masaa 9 na dakika 39 kwenye anga la nje.
 
{{stub}}
[[CategoryJamii:Wanaanga|* ]]
 
[[af:Ruimtevaarder]]
[[oc:Astronauta]]
[[pl:Astronauta]]
[[ps:فضانوردي]]
[[pt:Astronauta]]
[[ro:Astronaut]]
44,241

edits