Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 214:
:::::Halafu: Sanduku la Nchi. Zimebadilika mara nyingi nikinakili kutoka en:wiki. Mistari kadhaa hazipo tena. Nafikiri kuna uwezekano kutengeneza mistari yenye amri kama "if" yaani zinaonyeshwa tu kama zipo na kama hazipo hazionekani. Nakuachia sasa sanduku la Myanmar jinsi ilivyo utaona tatizo chini kwenye "saa za eneo" - sanduku lako lina mstari usiotumika na mfano wangu inaweka kila kinachotafuta katika mabano. --[[User:Kipala|Kipala]] 09:07, 1 Februari 2007 (UTC)
::Asante kwa kurudi - karibu tena!!! Ulivyoweka "bot status" kwa [[User:Thijs!bot]] naomba uidhinishe pia "bot status" kwa [[User:Escarbot]], [[User:JAnDbot]] na [[User:AmaraBot]]. Asante. --[[User:Oliver Stegen|Oliver Stegen]] 09:11, 1 Februari 2007 (UTC)
 
: Nimefurahi sana kusaidia tena: nisamehe kwa ughaibu. Nimetekeleza mahitaji haya ila sanduku la nchi (nitalichunguza baadaye). Nimeanza [[Wikipedia:Makala zinazohifadhiwa]] (kuhifadhi au kulinda?). Kutoka saa hii, kama vikaragosi vinahariri makala moja, haionekani katika orodha ya mabadilisho ya karibuni (natumaini!) isipokuwa unapobonyeza "fichua bots". [[User:Matt Crypto|Matt Crypto]] 13:32, 1 Februari 2007 (UTC)