62,394
edits
d (robot Adding: cs:Pearl S. Bucková) |
d ({{defaultsort}}) |
||
'''Pearl Buck''' ([[26 Juni]], [[1892]] – [[6 Machi]], [[1973]]) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya [[Marekani]]. Jina lake la kuzaliwa ni ''Pearl Comfort Sydenstricker''; Buck ni jina la mume wake. Lakini aliandika chini ya jina la ''John Sedges''. Anajulikana hasa kwa [[riwaya]] zake juu ya maisha katika nchi ya [[Uchina]] ambapo alilelewa akiwa mtoto wa wamisionari. Mwaka wa 1938 alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel]] ya Fasihi'''.
{{DEFAULTSORT:Buck, Pearl S.}}
[[Category:
[[Category:Tuzo ya Nobel ya Fasihi]]
{{mbegu}}
|
edits