Saint Helena : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d The file Image:Saint_Helena_coa.gif has been removed, as it has been deleted by commons:User:Shizhao: ''In category Copyright violations; replaceable fair use''. ''[[m:User:CommonsDelinker|Translat
d roboti Nyongeza: an, bs, mk, mr, nrm, ug Ondoa: bpy, lt Badiliko: de, pl, sk, sl; cosmetic changes
Mstari 1:
{| border="1" cellpadding="2" cellspacing="0" style="float:right; empty-cells:show; width:330px; margin-left:0.5em;"
|----- bgcolor="#EFEFEF"
| align="center"|[[ImagePicha:Flag of Saint Helena.svg|thumb|125px|none|Bendera ya St. Helena]]
| align="center"|
|----
Mstari 28:
| colspan="2" align="center"|
|----
| colspan="2" align="center"| [[ImagePicha:St Helena Atlantik.png|Thumb|St. Helena na visiwa vya jirani katika Atlantiki]]
|}
[[ImagePicha:St Helena-Pos.png|thumb|200px|left|Mahali pa St. Helena mbele ya Afrika)]]
[[Saint Helena]] (Kiingereza: Mtakatifu Helena) ni kisiwa mbele ya [[Afrika]] ya Magharibi katika [[Atlantiki]] ya kusini chenye eneo la 122 [[km²]]. Umbali na [[Angola]] ni 1.868 [[km]], ni 3.290 km hadi [[Brazil]] (Amerika ya Kusini). Kisiwa chenye asili ya [[volkeno|kivolkeno]] kimo ndani ya beseni ya Angola ya bahari Atlantiki hivyo huhesabiwa kuwa kisiwa cha Afrika. Ni [[eneo la ng'ambo la Uingereza]] na makao makuu ya kundi la visiwa vidogo pamoja na kisiwa cha [[Ascension]] na [[funguvisiwa]] ya [[Tristan da Cunha]].
 
== Historia ya Wakazi ==
Wakazi 7.460 (Julai 2005) ni wa asili ya Kiulaya, Kiafrika na Kichina. Wote wana uraia wa Uingereza wakitumia ligha ya [[Kiingereza]].
Mstari 40:
Tangu 1673 [[Kampuni ya Kiingereza ya India ya Mashariki]] ilitawala kisiwa kama kituo cha safari za [[merikebu ya matanga]] kubwa kati ya Uningereza, [[Afrika ya Kusini]] na [[India]]. Kampuni ilianzisha mji wa Jamestown na mashamba makubwa ya mboga kwa ajili ya mabaharia waliopita. Kwa ajili ya watumwa Waafrika walipelekwa Saint Helena, baada ya mwisho wa utumwa katika karne ya 19 pia wafanyakazi Wachina.
 
[[ImagePicha:16_Napoleons_exole_St_Helena_June1970.jpg|thumb|200px|left|Longwood House, St Helena: nyumba alimoishi Napoleon wakati wa kufungwa kisiwani]]
== Napoleon ==
Jina la Saint Helena lilijulikana kote duniani kutokana na kuwa mahali pa kufungwa kwa Kaisari [[Napoleon I.]] wa [[Ufaransa]]. Napoleon alikuwa kiongozi aliyeogopwa sana na kutawala sehemu kubwa ya Ulaya kwa miaka kadhaa mwanzoni wa karne ya 19. Baada ya kushindwa mwaka 1814 alitakiwa kubaki kwenye kisiwa cha [[Elba]] (Italia) alipotoroka tena na kuanza vita upya. Baada ya kushindwa mara ya pili huko [[Waterloo]] Waingereza walimpeleka mahali pa mbali iwezekanavyo ndipo St. Helena mwaka 1815. Hapo aliishi katika hali ya kufungwa akiwa na nyumba yake na watumishi wake lakini alipaswa kuongozana kisiwani na maafisa Waingereza waliomfuata kila alikoenda. Kwa ujumla Waingereza walipeleka St. Helena wanajeshi 2,000 pamoja na mabaharia wa kijeshi 500 ili wamlinde Napoleon wakiogopa majaribio ya Wafaransa kumwondoa na kumrudisha katika hali ya uhuru.
 
Mstari 47:
 
 
== Hali ya St. Helena leo ==
Kisiwa kinafikiwa kwa meli tu haina kiwanja cha ndege kubwa. Lakini hakuna meli za tanga tena zinazohitaji kusimama St. Helena na kuchukua maji pamoja na chakula. Hivyo hali ya uchumi ni duni. Kuna uvuwi kidogo na utalii unaotegemea kumbukumbu ya Napoleon. Kuna meli moja tu ya kuhudumia St. Helena na visiwa vingine inafika taktiban mara mbili kwa mwezi. Muda wa safari kati ya St. Helena na Namibia au Afrika Kusini ni siku 4 au 5. Kwa ujumla kisiwa kinategemea misaada ya serikali ya Uingereza.
 
Mji mkuu ni [[Jamestown]] mwenye wakazi 900.
 
[[CategoryJamii:Eneo la ng'ambo la Uingereza]]
[[CategoryJamii:Visiwa vya Atlantiki]]
[[CategoryJamii:Visiwa vya Afrika]]
{{Afrika}}
 
[[af:Sint Helena]]
[[als:St. Helena]]
[[an:Isla Santa Elena]]
[[ar:سانت هيلينا]]
[[bar:St. Helena]]
[[be-x-old:Выспа Сьвятая Гелена]]
[[bg:Света Елена]]
[[bs:Sveta Helena]]
[[bpy:সেন্ট হেলেনা]]
[[ca:Santa Helena]]
[[cs:Svatá Helena (ostrov)]]
[[cy:Saint Helena]]
[[da:Sankt Helena]]
[[de:St. Helena (Insel)]]
[[dv:ސަންތި ހެލީނާ]]
[[el:Νήσος Αγίας Ελένης]]
Line 102 ⟶ 103:
[[lij:Sant'Ellena]]
[[lmo:Sant'Elena]]
[[lt:Šv. Elenos Sala]]
[[lv:Svētās Helēnas Sala]]
[[mk:Света Елена]]
[[mr:सेंट हेलेना]]
[[nds:Saint Helena]]
[[nl:Sint-Helena (eiland)]]
[[nn:St. Helena]]
[[no:St. Helena]]
[[nrm:Sainte Hélène]]
[[pl:Święta Helena (kolonia)]]
[[pl:Wyspa Świętej Heleny]]
[[pt:Santa Helena]]
[[ro:Insula Sfânta Elena]]
Line 115 ⟶ 118:
[[sh:Sveta Helena]]
[[simple:Saint Helena]]
[[sk:Svätá Helena (zámorskéostrov územiev Atlantiku)]]
[[sl:OtokSveta sveteHelena Helene(otok)]]
[[sq:Ishulli Shën Elena]]
[[sr:Света Јелена (острво)]]
Line 124 ⟶ 127:
[[tl:Santa Helena (bansa)]]
[[tr:Saint Helena]]
[[ug:Saynt Xéléna Arili]]
[[uk:Острів Святої Єлени]]
[[ur:سینٹ ہلینا]]