Mfalme Dongmyeong wa Goguryeo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Badiliko: fr:Jumong
No edit summary
Mstari 3:
==Kwenye tamaduni maarufu==
Mnamo 2006-2007, mtandao wa televisheni wa Korea Kusini (Munhwa Broadcasting Corporation, kifupi '''MBC'') umerusha hewani mfululizo wa kipindi cha maarufu chenye vipengele 81, ''[[Jumong (mfululizo wa TV)|Jumong]]''.
==Kifo chana Urithi==
Jumong alikufa mnamo 19 KK akiwa na umri wa miaka 40.<ref>秋九月 王升遐 時年四十歲 葬龍山 號東明聖王, 《Samguksagi》 Goguryeo, volume 13.</ref> Mtoto wa (Yuri) kamzika baba yake ndani ya kaburi la pyramid, na kumpa jina la Chumo-seongwang.