Mlango wa Korea : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Korea Strait.png|thumb|350px|Ramani inayoonyesha Mlango wa Bahari wa Korea]]
'''Mlango wa Korea''' ni [[mlango wa bahari]] baina ya [[Korea Kusini]] na nchi ya [[Japani]]. Mlango huu unaunganisha [[Bahari ya Uchina ya Mashariki]] na [[Bahari ya Japani]] kwa upande wa kaskazini-magharibi mwa [[Bahari ya Pasifiki]]. Mlango ugawanyikaumegawanyika na [[Kisiwa cha Tsushima]] kwa upande wa magharibi mwa kanda ya [[Mlango wa Tsushima]] (kanda ya mashariki).
 
==Jiografia==