Mkondo wa bahari : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: ar:تيار محيطي
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Ocean currents 1911.jpg|thumb|350px|Mikondo ya Bahari (nyekundu: mkondo yabeba maji yenye moto zaidi kuliko bahari ya mazingira; buluu: mkondo hubeba maji baridi kulingana na mazingira)]]
[[Picha:Currents.svg|All the world's currents on a continuos ocean map|thumb|350px|right]]
'''Mkondo wa bahari''' ni mwendo mfululizo wa maji ndani ya [[bahari]]. Ni kama [[mto]] ndani ya bahari. Maji ya mkondo huwa na halijoto tofauti na maji ya mazingira.