Majadiliano ya Wikipedia:Kiswahili Wikipedia Challenge/en : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 21:
==Submissions==
How does one submit an article on the submissions page for review?--'''[[Mtumiaji:Nduati|Nduati]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Nduati|majadiliano]])''' 14:57, 25 Novemba 2009 (UTC)
 
==What to do with unacceptable entries / technical formal faults==
Inaonekana mashindano yanaleta kiasi cha michango ama ya majaribio au labda yanayokusudiwa kuingia lakini hali zao ni duni sana. Mfano makala ambazo ni pekee google-translation bila sahihisho (hivyo lugha isiyoeleweka), au makala bila yaliyomo (kichwa tu) na kadhalika (mfano: [[Mchango wao mkubwa]]).
 
Mimi nimefuta makala kadhaa za aina hii. Tatizo ni ya kwamba haionekani moja kwa moja kama mchango ni wa mashindano au la. Kwa hiyo: tuache masahihisha kwa sasa au tuendelee kuondo yale yasiyofaa kabisa 100%.
 
Swali lingine ni makala yenye maana ambako mchangiaji alikosea umbo hivyo makala haisomeki au inasomeka kwa matata. Mfano: kutoanza mstari kwenye nafasi ya kwanza ya mstari inayosababisha mistari mirefu kushinda dirisha la kompyuta. Nimesahihisha hapa ingawa inabadilisha umbo katika mshindano.
Tuache au vipi? --'''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])''' 17:33, 28 Novemba 2009 (UTC)
Return to the project page "Kiswahili Wikipedia Challenge/en".