PW Botha : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
Mstari 1:
[[Image:Pwbotha.jpg|right|thumb|250px|P.W. Botha]]
'''Pieter Willem Botha''' ([[12 JanuaryJanuari]] [[1916]] - [[31 Oktoba]] [[2006]]) alikuwa [[waziri mkuu]] na [[rais]] nchini [[Afrika Kusini]].
 
Alijulikana kwa majina ya "P.W." na "''Die Groot Krokodil''" ([[Afrikaans]]: "mwambamamba mkuu").
 
Botha alikuwa mwanasiasa wa asili ya [[makaburu]] na waziri mkuu wa Afrika Kusini kati ya 1978 na 1984.
Mstari 17:
1989 alilazimishwa kujiuzulu baada ya kupata matatizo ya kiafya. Mfuasi wake alikuwa [[Frederik W. de Klerk]] aliyeruhusu baadaye uchaguzi huru wa kwanza nchini na mwisho wa Ubaguzi wa rangi.
 
[[Category:Waziri MkuuWakuu wa Afrika Kusini|Botha, Pieter Willem]]
[[Category:RaisMarais wa Afrika Kusini|Botha, Pieter Willem]]
[[Category:MabakuruMakaburu|Botha, Pieter Willem]]
 
[[af:Pieter Willem Botha]]