Hua : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: br:Streptopelia; cosmetic changes
Mstari 11:
| familia = [[Columbidae]] (Ndege walio na mnasaba na [[njiwa]])
| familia_ndogo = [[Columbinae]] (Ndege walio mnasaba na njiwa)
| jenasi = ''[[Macropygia]]'' <small>[[William Swainson|Swainson]], 1837</small><br />
''[[Reinwardtoena]]'' <small>[[Charles Lucien Bonaparte|Bonaparte]], 1854</small><br />
''[[Streptopelia]]'' <small>[[Charles Lucien Bonaparte|Bonaparte]], 1855</small><br />
''[[Turacoena]]'' <small>[[Charles Lucien Bonaparte|Bonaparte]], 1854</small>
| spishi = Angalia katiba
Mstari 19:
'''Hua''' ni [[ndege (mnyama)|ndege]] wa [[jenasi]] mbalimbali katika [[familia (biolojia)|familia]] [[Columbidae]]. Spishi nyingine huitwa '''tetere''', '''kuyu''' au '''fumvu'''. Wana rangi kijivu, kahawia na nyupe na spishi nyingi zina rangi pinki. Jenasi ya ''[[Streptopelia]]'' inatoka [[Afrika]] lakini spishi kadhaa zimeingia Ulaya na Asia. [[Hua mkufu wa Ulaya]] na hua madoa ([[w:Spotted Dove|Spotted Dove]]) wamewasilishwa katika [[Marekani]]. Hua hula [[mbegu]], [[tunda|matunda]], [[mmea|mimea]] na pengine [[mdudu|wadudu]]. Hujenga tago lao la vijiti kwa miti au miwamba au chini kati ya manyasi. Jike hutaga mayai mawili kwa kawaida.
 
== Spishi za Afrika ==
* ''Streptopelia capicola'', [[Tetere Macho-meusi]] ([[w:Ring-necked Dove|Ring-necked Dove]])
* ''Streptopelia decaocto'', [[Hua Mkufu wa Ulaya]] ([[w:Eurasian Collared Dove|Eurasian Collared Dove]])
Mstari 36:
* ''Streptopelia vinacea'', [[Tetere rangi-pinki]] ([[w:Vinaceous Dove|Vinaceous Dove]])
 
== Spishi za mabara mengine ==
* ''Macropygia amboinensis'' ([[w:Slender-billed Cuckoo-dove|Slender-billed Cuckoo-dove]])
* ''Macropygia emiliana'' ([[w:Ruddy Cuckoo-dove|Ruddy Cuckoo-dove]])
Mstari 57:
* ''Turacoena modesta'' ([[w:Slaty Cuckoo-dove|Slaty Cuckoo-dove]])
 
== Picha ==
<gallery>
Image:Ring-necked-Dove-Masai-Mara.jpg|Tetere macho-meusi
Mstari 80:
[[Jamii:Njiwa na jamaa]]
 
[[br:Streptopelia]]
[[de:Turteltauben]]
[[en:Streptopelia]]