Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2:
 
Mimi ni Peter Kamero, mzaliwa wa [[Kenya]] . Sasa hivi mimi ni mwanafunzi wa Sheria katika chuo Kikuu cha Nairobi. Niko karibu kuhitimu masomo yangu, sasa hivi nafanya mwaka wangu wa nne. Nilizaliwa Nairobi mwezi wa nne mwaka wa 1987. Nimelelewa Nairobi, na nimesomea kuku huku. Nilifanya masomo yangu ya msingi katika St. Nicholas Primary School, iliyoko katika barabara ya Ngong, Nairobi. Kisha niliendelea na masomo yangu katika shule ya upili ya Strathmore, Nairobi. Baadaye nilipitia Alliance Francaise, nilipohitimu masomo yangu ya kifaransa. Kwa kweli nazipenda lugha tofauti, ndio maana niliamua kushiriki katika ushindani huu wa Wikipedia, manake pia Kiswahili naipenda.
 
 
{{user unairobi}}