Content deleted Content added
NevilleT--~~~~
No edit summary
Mstari 1:
{{boxboxtop|Lugha}}
{{user sw}}
{{user en-3}}
{{user kwc}}
{{boxboxbottom}}
{{Statustop}}
 
Jina langu ni Neville Tirimba na mimi ni mkaazi wa Ngong Hills, Mkoa wa Bonde la Ufa. Nina umri wa miaka ishirini na miwili na mimi ni mwanafunzi wa somo la sheria katika Chuo Kikuu Cha Kikatoliki Cha Afrika ya Mashariki. Sijaoa, sina watoto lakini natumai nitabarikiwa wakati ufaao utakapotimia. Mimi hupenda kusoma fasihi, kutazama filamu mbalimbali (isipokuwa filamu za kutisha) na kupiga picha. Ninaamini kuwa mpango wa Wikipedia utasaadia kuimarisha na kuendeleza lugha ya Kiswahili kwa njia isiyokadirika kwa sasa.
 
 
{{user kwc}} (for individuals)