Mfalme : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
nyongeza
Mstari 13:
Wafalme wa nchi kama [[Moroko]] na [[Yordani]] wana athira kubwa zaidi.
 
* Mfalme mwenye mamlaka yote bila kufungwa na katiba alikuwa jambo la kawaida zamani lakini leo hii wamebaki wachache sana. Falme za aina ni [[Saudia]], [[Omani]], [[Qatar]], [[Uswazi]], [[Brunei]] na [[Bhutan]] (inayoandaa katiba kwa mwaka 2008).
 
*Mfalme wa sehemu ya taifa tu: mifano yake ni [[Kabaka]] wa [[Buganda]] au [[Asantehene]] wa [[Ashanti]] katika [[Ghana]]. Wafalme hawa wa jadi bado wanaheshimiwa na kuwa na athira kwa sababu wanatambuliwa na watu wao hata ndani ya jamhuri kubwa zaidi kuliko eneo la kabila au kundi lao.