Majadiliano ya Wikipedia:Kiswahili Wikipedia Challenge/en : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
/* What to do with unacceptable entries
Mstari 29:
Swali lingine ni makala yenye maana ambako mchangiaji alikosea umbo hivyo makala haisomeki au inasomeka kwa matata. Mfano: kutoanza mstari kwenye nafasi ya kwanza ya mstari inayosababisha mistari mirefu kushinda dirisha la kompyuta. Nimesahihisha hapa ingawa inabadilisha umbo katika mshindano.
Tuache au vipi? --'''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])''' 17:33, 28 Novemba 2009 (UTC)
 
:Salaam Kipala. Sijui, kuna sera au uzoefu gani juu ya kufuta makala hapa Wikipedia ya Kiswahili? Je, tunaweka kigezo kwenye ukurasa wenye matata, ili kuwaarifu wasomaji na watumizi kwamba ukurasa haufai na utatolewa baada ya kipindi fulani? Uzuri wa kutumia ilani kama huu ni kwamba kufuta moja kwa moja, bila kuwapa watumizi nafasi ya kuboresha makala au kujieleza, inaweza kuwafanya wakate tamaa, hasa wageni kabisa, ambao tunao wengi kwa kipindi hiki cha mashindano. Ila nakubali kwamba makala kama 'Mchango wao mkubwa', ambazo hata vichwa havieleweki, zifutwe moja kwa moja.
 
:Na kuna ukurasa wa kujadili makala ambazo zimependekezwa zifutwe? Ukurasa wa aina kuo unaweza kusaidia kuwapa watumizi wageni nafasi ya kujieleza, pamoja na kupata ushauri wa watumizi wenye uzoefu.
 
:Katika swali kuhusu kuboresha umbo wa makala, au kuacha, sijui tena! Je, tungeweza kueleza namna ya kuboresha kwenye ukurasa wa majadiliano badala ya kubadilisha wenyewe? Kimsingi tunahitaji kurasa za msaada zilizoandikwa Kiswahili - lakini muda ndiyo mfupi na kazi ni nyingi! Au labda tuache hadi kipindi cha mashindano kimekwisha, halafu turekebishe makosa kama haya? '''[[Mtumiaji:Lloffiwr|Lloffiwr]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Lloffiwr|majadiliano]])''' 23:49, 1 Desemba 2009 (UTC)
Return to the project page "Kiswahili Wikipedia Challenge/en".