Tofauti kati ya marekesbisho "Shirikisho la Jamhuri"

37 bytes removed ,  miaka 14 iliyopita
sahihisho ya lugha
(New page: '''Shirikisho la Jamhuri''' ni muundo wa kisiasa ambako nchi hutawaliwa kwa muundo ya jamhuri lakini hutazamiwa kama maungano wa maeneo ndani yake -kwa kawaida huitwa "majimbo"- ye...)
 
(sahihisho ya lugha)
'''Shirikisho la Jamhuri''' ni muundo wa kisiasa ambako nchi hutawaliwa kwa muundo ya [[jamhuri]] lakini hutazamiwa kama maungano wa maeneo ndani yake -kwa kawaida huitwa "ma[[jimbo]]"- yenye haki zao zisizopewa wala zisizonyanganywa na serikali kuu ya kitaifa.
 
Katika muundo huu taifa hatawaliwi na serikali moja katika mambo yote lakini madaraka hugawiwa kati ya madaraka ya serikali ya kitaifa na madaraka ya majimbo.