Waziri mkuu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: '''Waziri Mkuu''' ni cheo cha kiongozi wa serikali. Neno lasema ya kwamba yeye ni mkubwa kati ya mawaziri wa serikali. Madaraka yake hutegemea na katiba ya nchi. Kwa kawaida cheo hiki ...
 
No edit summary
Mstari 5:
Kuna hasa aina mbili za mawaziri wakuu kufuatana na katiba za nchi mbalimbali:
 
===MuundoWaziri Mkuu katika muundo wa [[serikali ya kibunge]]===
* waziri mkuu kama kiongozi wa siasa ya nchi anachaguliwa na bunge. <br>Mifano: [[Uhindi]], [[Uingereza]] au [[Ujerumani]]. <br>Katika muundo huu nafasi ya rais au ya mfalme ni cheo cha heshima kama ishara ya umoja wa taifa. Waziri mkuu hutegemea kabisa idadi ya wabunge wanaoshikamana naye. Mkuu wa dola anaongezeka umuhimu kama bunge limegawanywa na hakuna uwingi ulio wazi kwa mgombea mmoja wa nafasi ya waziri mkuu.
**Katiba zinatofautiana kama mawaziri wote wako tu kwa mapenzi ya waziri mkuu au kama bunge linawachagua mmoja-mmoja. Hii inamaanisha tofauti kama waziri ana msimamo mbele ya waziri mkuu au kama hana.
 
===MuundoWaziri Mkuu katika muundo wa [[serikali ya kiraisi]] au kifalme===
* waziri mkuu kama kiongozi wa serikali tu chini ya usimamizi wa rais au mfalme anayeshika madaraka makubwa. <br>Mifano: [[Tanzania]], [[Ufaransa]].<br> Katika muundo huu rais huchaguliwa na wananchi wote. Yeye anamteua waziri mkuu, mara nyingi hata mawaziri wenyewe.
 
Mstari 19:
===Mifano ya nchi wenye mawaziri wakuu===
 
* [[Australia]] (chini ya mfalme, mfumo wa kibunge)
* [[Kanada]] (chini ya mfalme, mfumo wa kibunge)
* [[Singapore]] (chini ya rais)
* [[Tanzania]](chini ya rais)
* [[Thailand]] (chini ya mfalme)
* [[Uhindi]] (chini ya rais, mfumo wa kibunge)
* [[Ujerumani]] (chini ya rais, mfumo wa kibunge)
* [[Uingereza]] (chini ya mfalme, mfumo wa kibunge)
* [[Ufaransa]] (chini ya rais)