Quito : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Badiliko: mr:क्वितो
Mstari 29:
Mwaka 1809 wakati wa ghasia katika sehemu mbalimbali za [[Amerika Kusini]] dhidi ya serikali ya mfalme mpya wa Hispania [[Joseph Bonaparte]] (mdogo wake [[Napoleon Bonaparte]]) kamati ya raia katika Quito ilitangaza uhuru wa eneo lake kutoka Hispania. Utawala wa Hispania ulirudishwa kwa mabavu hadi 1822 wakati Hispania ilishindwa na mapinduzi ya [[Simon Bolivar]] na kuundwa kwa jamhuri ya [[Gran Colombia]]. Baada ya mwisho wa jamhuri hii sehemu zake ziliachana Quito ikawa mji mkuu wa nchi mpya ya Ekuador.
 
{{mbegu-jio-AmerikaKusini}}
{{Commons}}