Tom Mboya : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Thomas Joseph Odhiambo Mboya''' (15 Agosti, 1930 - 5 Julai, 1969) alikuwa mwanasiasa maarufu [[Kenya]] wakati wa serikali ya Mzee  Jomo Kenyatta . Yeye pia alianzisha chama cha Nairobi People's Congress Party, chama ambacho kilichangia kukua kwa chama maarufu  Kenya African National Union (KANU), alikuwa pia Waziri wa Mipango na Maendeleo ya Uchumi wakati wa kifo chake. Mboya  aliuawa tarehe 5 Julai, 1969 katika  mji mkuu wa Nairobi.
Wasifu
Thomas Mboya Odhiambo alizaliwa tarehe 15 Agosti, 1930 katika Kilima Mbogo, karibu na mji  Thika  wakati huo sehemu yenyewe ilijulikana kama “ White Highlands “ kwa Kiingereza. [2]