Wikipedia:Mwongozo (Kuhariri) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 4:
Ukitoa kurasa chache [[Wikipedia:Makala zinazolindwa|zinazolindwa]], kila kurasa ina kiungo kinachosema "'''''hariri'''''", ambacho kinakupatia kurasa unayoitafuta. Hiki ni kipengele muhimu sana cha Wikipedia, na wote wanaruhusiwa kufanya masahihisho na kuongezea masuala mengine kwenye makala. Iwapo unaongeza habari fulani kwenye makala, [[Wikipedia:Kutaja vyanzo|tafadhali weka marejeo]], kwa sababu [[Wikipedia:Uthibitishaji|habari zisizo na vyanzo kuna uwezekano mkubwa wa kuondolewa]].

Nenda kwa [[Wikipedia:UkufunziMwongozo (Kuhariri)/sanduku la mchanga|sanduku la mchanga]] na ubonyeze kiungo cha "''hariri''". Hii itafungua dirisha la kuhariria lililo na maandishi ya ukurasa huu. Weka kitu cha kujifurahisha au "Salam ulimwengu!", halafu '''Hifadhi kurasa''' na tazama nini ulichofanya! Kuwa mwangalifu kuhakikisha kwamba una hariri ukurasa wa sanduku la mchanga, na siyo maandishi ya ukurasa huu wa ukufunzimwongozo.

==Onyesha hakikisho==
Moja ya kipengele muhimu cha kuanza kutumia sasa ni kitufe cha '''Onyesha hakikisho la mabadiliko'''. Jaribu kufanya uhariri kwenye [[Wikipedia:UkufunziMwongozo (Kuhariri)/sanduku la mchanga|sanduku la mchanga]], halafu bonyeza kitufe cha '''Onyesha hakikisho la mabadiliko''' badala ya '''Hifadhi Kurasa'''. Hii inakuruhusu kuona kurasa itakavyoonekana baada ya kuhifadhi, ''kabla'' hujahifadhi. Wote twafanya makosa; kipengele hiki kinakuonyesha makosa hayo. Kutumia Onyesha Hakikisho la Mabadiliko kabla ya kuhifadhi pia inakuruhusu kujaribu kubadili miundo na maharirio mengine bila ya kupagaranyua historia ya kurasa. Usisahau kuhifadhi maharirio yako baada ya kuhakiki!

==Muhtasari wa kuhariri==
Mstari 14:

'''Jaribu kuhariri katika [[Wikipedia:UkufunziMwongozo (Kuhariri)/sanduku la mchanga|sanduku la mchanga]]'''

<noinclude>

'''Endelea ukufunzimwongozo na [[Wikipedia:UkufunziMwongozo (Muundo)|Muundo]]''' →

</noinclude>

<noinclude>
[[Jamii:UkufunziMwongozo wa Wikipedia|*1]]

[[als:Wikipedia:Tutorial/1]]