Wikipedia:Mwongozo (Kurasa za majadiliano) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Created page with '{{Wikipedia:Tutorial/TabsHeader|This=6}} <div style="border:2px solid #A3B1BF; padding:.5em 1em 1em 1em; border-top:none; background-color:#fff; color:#000"> {{TOCright}} Kila ma...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 06:21, 6 Desemba 2009

Utangulizi   Kuhariri   Kuanzisha Makala   Muundo   Viungo vya Wikipedia   Kutaja vyanzo   Kurasa za majadiliano   Kumbuka   Kujisajili    

Kila makala ya wikipedia huwa na "Ukurasa wa Majadiliano". Hii ni sehemu muhimu ya mradi huu na msaada mkubwa wa kuelewana kati ya wanawikipedia na kwa kuboresha makala.

Ukurasawa majadiliano wa makala

Hapa ni mahali pa kuweka maswali au maono juu ya makala - si ndani ya makala!!

Unaingia kwa kubofya alama ya "majadiliano" juu ya ukurasa wa uhariri. Usijali kama rangi yake ni nyekundu maana hakuna aliyefungua ukurasa huu na wewe utakuwa mchangiaji wa kwanza.

Ukikuta maandishi tayari weka maandishi yako chini yale yaliyotangulia. Isipokuwa ukimjibu mtu moja kwa moja basi uweke jibu lako chini yake lakini utumie alama mwanzoni mwa mstari : au :: au ::: kupanga yako kama jibu.

Unatakiwa kutia sahihi chini ya jibu lako ama kwa kuandika ~~~~ au kubofya alama ya 10 katika menyu ya ukurasa wa uhariri.

Si lazima lakini unashauriwa kujiandikisha kwanza kwa jina fulani. Hii haileti gharam kwako lakini utajulikana zaidi inasaidi mawasiliano.

Ukurasa wa majadiliano wa watumiaji

Sio kila makala hata kila mtumiaji huwa na ukuirasa wa majadiliano. Hapa unaweza kuacha ujumbe kwa mtuiaji mwingine.

Kama mtu ameache ujumbe kwenye ukurasa wako utaona sanduku lenye manano ya kutangaza ujumbe mpya kwako kila ukiingia wikipedia kwa jina lako.

Kuna njia mbili za kujibu ama kwenye ukurasa wako ulipopata swali la mtu mwingine au kwenye ukurasa wake. Ukijibu kwake ataiona akijisajili tena.