Tofauti kati ya marekesbisho "Wikipedia:Mwongozo (Kurasa za majadiliano)"

no edit summary
::Salaam nimeona wewe ni mtaalamu wa kompyuta naomba usaidie makala ya baobonye.
 
Unatakiwa kutia sahihi chini ya jibu lako ama kwa kuandika <tt><nowiki>~~~~</nowiki></tt> au kubofya alama ya 10[[Picha:Button_sig.png]] katika menyu ya ukurasa wa uhariri.
 
Si lazima lakini unashauriwa kujiandikisha kwanza kwa jina fulani. Hii haileti gharama kwako lakini utajulikana zaidi inasaidi mawasiliano.