Wikipedia:Mwongozo (Kumbuka) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 20:
Kwa orodha ya miradi yote tazama [[Meta:Complete list of Wikimedia projects|Complete list of Wikimedia projects kwa Meta]].
 
==Yasiyofaa==
'''Wikipedia si mahali pa:'''
*kuonyesha matokeo ya '''utafiti asilia''' maana ya habari ambazo wewe kama mwandishi umebuni mara ya kwanza au '''nadharia mpya''' zisizoangaliwa bado na wataalamu wengine. Maana yake kama wewe umegundua ukweli fulani wikipedia si mahali pa kuitangaza mbele ya dunia. Tunapendelea kusubiri hadi wataalamu wengine wameiangalia na kuchangia mawazo yao.
 
*Si mahali pa '''kujitangaza mwenyewe'''. Kama wewe ni mwandishi, mwimbaji au mwimbajimsanii bora haifai ukieleza ubora walkowako mwenyewe. Subiri tu kidogo hadi wengine wanakujua na kuimba sifa zako!
 
==Msimamo wa kutopendelea upande==