Tofauti kati ya marekesbisho "Wikipedia:Mwongozo (Kuhariri)"

lugha
(lugha)
 
==Onyesha hakikisho==
Moja ya kipengelevipengele muhimu cha kuanza kutumia sasa ni kitufe cha '''Onyesha hakikisho la mabadiliko'''. Jaribu kufanya uhariri kwenye [[Wikipedia:Mwongozo (Kuhariri)/sanduku la mchanga|sanduku la mchanga]], halafu bonyeza kitufe cha '''Onyesha hakikisho la mabadiliko''' badala ya '''Hifadhi Kurasa'''. Hii inakuruhusu kuona kurasa itakavyoonekana baada ya kuhifadhi, ''kabla'' hujahifadhi. Wote twafanya makosa; kipengele hiki kinakuonyesha makosa hayo. Kutumia Onyesha Hakikisho la Mabadiliko kabla ya kuhifadhi pia inakuruhusu kujaribu kubadili miundo na maharirio mengine bila ya kupagaranyua historia ya kurasa. Usisahau kuhifadhi maharirio yako baada ya kuhakiki!
 
==Muhtasari wa kuhariri==
[[Picha:kuhariri-muhtasari.PNG|thumb|right|450px|Kitufe cha "Onyesha hakikisho la mabadiliko" kipo upande wa kulia baada ya kitufe cha "hifadhi kurasa" na chini yake ni uga ya "kuhariri muhtasari.]]
Kabla hujagonga '''Hifadhi kurasa''', huhesabiwa kamani adabu nzuri (aukuingiza maelezo "Miikomafupi yasana Kiwiki")kuhusu kuingizakile maelezo ya busara ya ulichobadilisha kwenye sanduku la '''Muhtasari wa kuhariri''' ambacho kipolililopo baina ya dirisha la kuhariria na kitufe cha '''Hifadhi kurasa''' na '''Onyesha haikikisho la mabadiliko'''. Inaweza kuwa kifupi sana; kwa mfano kama unaingiza neno "typo", watu watajua kama umefanya masahihisho ya tahajia. Pia, iwapo mabadiliko uliyoyafanya kwenye kurasa yalikuwa madogo, kama vile kusahihisha tahajia na makosa ya kisarufi, kuwa makini kutazama kisanduku cha "Haya ni mabadiliko madogo" (hii inapatikana ukiwa umeingia kwenye akaunti yako tu, basi).
 
{{-}}
Anonymous user