Bunge : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: gan:議會
No edit summary
Mstari 1:
'''Bunge''' ni chombo cha kutunga [[sheria]] na pia ni mmoja wa mihimili mitatu inayounda mfumo wa [[utawala]] kulingana na mfumo wa [[mgawanyo wa madaraka]]. Mihimili mingine ni [[mahakama]] na [[serikali]].

Bunge ni chombo kinachotokana na [[mfumo wa utawala wa Westminster]]. Mfumo huu ambao umerithiwa na nchi nyingi duniani umetoka nchini [[Uingereza]]. Kutokana na mfumo huu kutoka nchini Uingereza, mara nyingi [[Bunge la Uingereza]] huitwa "Mama wa Bunge" duniani. Bunge la kwanza nchini Uingereza liliundwa wakati wa utawala wa [[Mfalme Henry III]] katika [[karne ya 13]]. Bunge hilo lina sehemu mbili, [[Bunge la Makabwela]] na [[Bunge la Mabwanyeye]].
 
Katika nchi nyingi zinazofuata mfumo wa Westminster, [[Waziri Mkuu]] huwa ndio kiongozi mkuu wa [[serikali]] bungeni.