Wikipedia:Makala kwa ufutaji : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d samahani - niliziweka kwenye "Uteuzi" sasa ...
No edit summary
Mstari 3:
==Uteuzi==
 
==Jalada==
===[[Semsem Barabara]]===
Jamani, kuna mwenye kuelewa maana ya makala hii? Nimeisoma nikashindwa kuielewa: http://sw.wikipedia.org/wiki/Semsem_Barabara
-- --[[User:Ndesanjo|Ndesanjo]]
:Inavyoonekana hii ni tafsiri ya mashine ya makala katika wikipedia ya Kiingereza kuhusu maonyesho ya televisheni yaliyoanzishwa Marekani, yaani "Sesame Street", au kwenye Afrika ya Kusini ni "Takalani Sesame" [[http://en.wikipedia.org/wiki/Takalani_Sesame]]. Kama hakuna atakayesikia umuhimu wa kuitafsiri sawasawa, na ifutwe. --[[User:Oliver Stegen|Oliver Stegen]] 23:22, 1 Februari 2007 (UTC)
:: Nimeifuta. [[User:Matt Crypto|Matt Crypto]] 20:34, 4 Februari 2007 (UTC)
 
===[[Fluminense]]===
Nimegundua tena ukurasa mwingine ambao ufutwe:
:Hakuna Kiswahili katika kiungo hiki, ukurasa huu ufutwe. --[[User:Oliver Stegen|Oliver Stegen]] 20:23, 17 Agosti 2006 (UTC)
:: Nimeifuta. [[User:Matt Crypto|Matt Crypto]] 20:34, 4 Februari 2007 (UTC)
 
===[[Evan carroll]]===
Na mwingine tena:
:Huyu '''Evan Carroll''' ni nani? Siwezi kumkuta kwenye wikipedia nyingine. Kama hajulikani au hana umuhimu, makala hii ifutwe tena. Poleni! --[[User:Oliver Stegen|Oliver Stegen]] 22:52, 3 Oktoba 2006 (UTC)
:: Nimeifuta. [[User:Matt Crypto|Matt Crypto]] 20:34, 4 Februari 2007 (UTC)
 
==Jalada==
===[[Benzi karl fredrick]]===
Mimi ningependekeza kufuta makala '''Benzi karl fredrick''' kwa sababu mbili: