Content deleted Content added
Mstari 212:
::Umefufuka, kumbe!! Karibu tena. Makala ya "Mpira wa miguu" inahitaji kulindwa. Uhariri na mabadiliko kwa wenye anwani tu. --[[User:Kipala|Kipala]] 08:53, 1 Februari 2007 (UTC)
:::Halafu: Bots. Ukurasa wetu unajaa michango ya interwiki-bots. Ukipata nafasi labda angalia a) kama wote wameandikishwa kama bot, na b: je hatuwezi kupata nafasi ya kuangalia mabadiliko bila kuonyesha bot? (Labda hata kama hali ya kawaida? jinsi ilivyo kwenye wikipedia kubwa - huko bots hazionekana kwa kawaida lakini unaweza kubonyeza "onyesha mabadiliko ya bot") --[[User:Kipala|Kipala]] 08:53, 1 Februari 2007 (UTC)
:::::Halafu: Sanduku la Nchi. Zimebadilika mara nyingi nikinakili kutoka en:wiki. Mistari kadhaa hazipo tena. Nafikiri kuna uwezekano kutengeneza mistari yenye amri kama "if" yaani zinaonyeshwa tu kama zipo na kama hazipo hazionekani. Nakuachia sasa sanduku la [[Myanmar]] jinsi ilivyo utaona tatizo chini kwenye "saa za eneo" - sanduku lako lina mstari usiotumika na mfano wangu inaweka kila kinachotafuta katika mabano. --[[User:Kipala|Kipala]] 09:07, 1 Februari 2007 (UTC)
::Asante kwa kurudi - karibu tena!!! Ulivyoweka "bot status" kwa [[User:Thijs!bot]] naomba uidhinishe pia "bot status" kwa [[User:Escarbot]], [[User:JAnDbot]] na [[User:AmaraBot]]. Asante. --[[User:Oliver Stegen|Oliver Stegen]] 09:11, 1 Februari 2007 (UTC)