Content deleted Content added
Mstari 213:
:::Halafu: Bots. Ukurasa wetu unajaa michango ya interwiki-bots. Ukipata nafasi labda angalia a) kama wote wameandikishwa kama bot, na b: je hatuwezi kupata nafasi ya kuangalia mabadiliko bila kuonyesha bot? (Labda hata kama hali ya kawaida? jinsi ilivyo kwenye wikipedia kubwa - huko bots hazionekana kwa kawaida lakini unaweza kubonyeza "onyesha mabadiliko ya bot") --[[User:Kipala|Kipala]] 08:53, 1 Februari 2007 (UTC)
:::::Halafu: Sanduku la Nchi. Zimebadilika mara nyingi nikinakili kutoka en:wiki. Mistari kadhaa hazipo tena. Nafikiri kuna uwezekano kutengeneza mistari yenye amri kama "if" yaani zinaonyeshwa tu kama zipo na kama hazipo hazionekani. Nakuachia sasa sanduku la [[Myanmar]] jinsi ilivyo utaona tatizo chini kwenye "saa za eneo" - sanduku lako lina mstari usiotumika na mfano wangu inaweka kila kinachotafuta katika mabano. --[[User:Kipala|Kipala]] 09:07, 1 Februari 2007 (UTC)
:::::: Wamebadilisha wikicode kwenye sanduku la nchi la Wikipedia ya Kiingereza kutumia "if", kama ulivyosema. Ni lazima tunakili na tutafsiri sanduku tena. Nitaanza kazi mpya kesho, lakini nitajaribu kupata nafasi kutatua tatizo hilo. [[User:Matt Crypto|Matt Crypto]] 21:03, 4 Februari 2007 (UTC)
::Asante kwa kurudi - karibu tena!!! Ulivyoweka "bot status" kwa [[User:Thijs!bot]] naomba uidhinishe pia "bot status" kwa [[User:Escarbot]], [[User:JAnDbot]] na [[User:AmaraBot]]. Asante. --[[User:Oliver Stegen|Oliver Stegen]] 09:11, 1 Februari 2007 (UTC)