Wikipedia:Mwongozo (Viungo vya Wikipedia) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
kutaja makosa
Mstari 48:
 
Pia kuna kurasa za kutofautisha "maana" -- hizi siyo makala, bali kurasa zenye viungo vya makala zenye majina ya karibu. Tazama [[Kipanga (maana)]] kwa maana 4 tofauti.
 
=====Makosa ya mara kwa mara=====
Makosa yatokea kirahisi usipoangalia vema yote ndani ya mabano mraba. Usiweke mabano ya kiungo bila kutafakari. Usimwage matokeo ya google translate bila kuchungulia kwanza!
 
Kwa mfano kuingiza alama za '''.''' au ''',''' ndani ya kiungo inabadilisha marejeo na kuharibu kiungo. <nowiki>[[Afrika,]]</nowiki> haiwezi kuunganisha na [[Afrika]] shauri ya koma ndani ya mabano.
 
Kingine ni kutumia umbo la neno lisilo kawaida kwa mfano uwingi badala ya umoja au kinyume. Hapa ni sharti kuchungulia kupitia dirisha la tafuta au jamii je umbo la kawaida hapa ni nini? Vilevile tahajia isiyo kawaida.
 
Jaribu kutafuta majina ya kikamusi; usiweke kiungo kwa "biashara haribifu ya watumwa". Jina la kikamusi ni "biashara ya watumwa".
 
==Wakati wa kuunga==