Visiwa vya Aland : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Badiliko: lv:Olande
d roboti Nyongeza: dsb:Åland; cosmetic changes
Mstari 1:
[[ImagePicha:Aland.png|thumb|250px|Aland]]
'''Visiwa vya Aland''' ''([[Kiswidi]]: Åland; [[Kifini]]: Ahvenanmaa)'' ni [[funguvisiwa]] ya [[Baltiki]] katika kusini ya [[Ufini]] yenye hali ya jimbo huru la nchi hiyo. Mji mkuu ni Mariehamn kwenye kisiwa cha Fasta Åland.
 
Mstari 7:
Kisiwa kikubwa ni Fasta Åland upande wa magharibi. Eeno la visiwa vyote ni 1,554 km². Jumla ya wakzi ni manmo 26,530.
 
== Historia ==
Tangu mwaka 1000 BK visiwa vilikuwa chini ya [[Uswidi]]. Wakati wa Uswidi kutawala Ufini vilihesabiwa pamoja na jimbo la Kifini la Uswidi. Tangu mwaka 1809 vilihamishwa chini ya [[Urusi]] pamoja na Ufini wote. Baada ya [[vita kuu ya kwanza ya dunia]] kulitokea uhuru wa Ufini pamoja na fitina kama visiwa vitakuwa sehemu ya Ufini au ya Uswidi.
 
[[Shirikisho la Mataifa]] liliamua mwaka 1920 ya kuwa
* visiwa vitabaki sehemu ya Ufini
* wakazi wawe na uhuru wa kutumia lugha yao ya Kiswidi na kutunza utamaduni wao
* visiwa viwe eneo bila wanajeshi
 
Ufini ilitekeleza azimio hili kwa sheria mbalimbali. Hivyo Aland ni sehemu ya Ufini ambako lugha rasmi ya pekee si kifini bali Kiswidi. Wafini kutoka bara hawaruhusiwi kununua ardhi au nyumba moja kwa moja kama hawakuishi visiwani kwa miaka kadhaa kwanza.
Mstari 19:
 
 
[[CategoryJamii:Ufini|Aland]]
[[CategoryJamii:Visiwa vya Baltiki]]
 
{{Link FA|de}}
Mstari 40:
[[da:Åland]]
[[de:Åland]]
[[dsb:Åland]]
[[el:Ώλαντ]]
[[en:Åland Islands]]