Majadiliano ya Wikipedia:Kiswahili Wikipedia Challenge/en : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 58:
 
:::Mmhh, haya sasa mambo! Kufuta makala zisizo na msingi wakati shindano ni lazima. Hofu yangu/yetu kwamba tukiacha makala hizo kwa muda mrefu bila kuchukua hatua yoyote ile, shida itakuja kwenye kuzitafuta hapo baadaye. Inakuwa vigumu sana kuanza kuchambua moja baada ya nyingine - ndiyo sababu iliyopelekea mimi kufuta makala kadhaa za mashindano. Sikuwa na jinsi, bali kufanya hivyo. Kwa mfano kuna mtu kaandika upya makala ya [[Tanzania]] - sijui hata nifanyeje, labda nikipata muda nichague maelezo mazuri (huku narudisha ukurasa wa awali) na kuchukua maelezo baadhi katika ukurasa mpya na kuyatumia. Basi ni shida juu ya shida, lakini haya!!! Pia, nimeona (dada) ukisema kwamba tuwataarifu kwenye ukurasa wa "makala kwa ufutaji" - nayo inakuwa shida kwa sababu hawajielezi. Pia, wanaonekana kutokuwa na moyo wa dhati. Hivyo hata mawasiliano inakuwa shida. Hapo je?--<span class="handtekening_lang">[[Image:Flag of Tanzania.svg|20px|Muddyb]] </span><font face="Verdana">[[User:Muddyb Blast Producer|<font color="green"><sub>'''Mwanaharakati'''</sub></font>]]</span><font face="Arial">[[User talk:Muddyb Blast Producer|<font color="blue"><sup><big>'''Longa'''</big></sup></font>]]</span></small></font></font color></font face="arial"> 06:15, 2 Desemba 2009 (UTC)
 
::::Nakubali ni vigumu kufuta mno sasa shauri ya kutokatisha tamaa. Lakini naona pia tusiache michango mibovu jinsi ilivyo. Basi tuweke vigezo vya kuonya maana kila kigezo kinaunda orodha (kupitia "Viungo viungavyo ukurasa huu") na baadaye tunaweza kupanga kupitia orodha hii. Kwa hiyo, labda Muddy na Accountable wasaidie? Napendekeza kigezo <nowiki>{{umbo}}</nowiki> nimeisahihisha kwa kusudi hili. Lina onyo ndani yake, majadiliano ni kwenye ukurasa wa majadiliano ya ukurasa mwenyewe. Kwa njia hii hatujazi orodha ya kufuta sasa na watu wanapata mmuda. Baada ya mashindano tupite (tukiona masahihisho hata kabla).
 
::::Je tunaye mtu anayeweza kutengeneza ukurasa wa kudumu unaoonyesha kurasa zote zenye kigezo cha "umbo" na kujisahihisha yenyewe? Maana anwani hii ingeingia katika kigezo pamoja na ombi la kujiandikisha kwenye ukurasa wake wa majadiliano kama wameboresha makala. Hii ni kama ukurasa wa pili wa "Ufutaji" lakini kwa kazi kidogo zaidi. --'''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])''' 22:20, 8 Desemba 2009 (UTC)
 
== New questions! ==
Return to the project page "Kiswahili Wikipedia Challenge/en".