Wikipedia:Mwongozo (Viungo vya Wikipedia) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
kutaja makosa
No edit summary
Mstari 45:
 
====Kuhakikisha viungo ni sahihi====
Hapa tunatumia dirisha la "tafuta" upande wa kushoto. Tukitaka kujua kama kuna tayari chochote kuhusu "Pemba" tunaandika neno hili dirishani. Halafu tunabofya "tafuta" tutapata orodha ya makala 119 yote yaliyo na neno "Pemba" ama katika jina au katika maandishi ya makala, kama vile [[Pemba (kisiwa)]], [[Mkoa wa Pemba Kusini]], [[Mkoa wa Pemba Kaskazini]], kata zote za Pemba, makala za kihistoria zinazogusa Pemba na mengine. Kwa kuchungulia usigonge "makala" chini ya dirisha maana hii itakupa makala 1 tu ama ya [[Pemba]] (maana) au ya mahali 1 tu. Kwa njia hii unaweza kuunganisha na makala yaliyopo tayari ukitumia jina na umbo sahihi.
Tafadhali tazama viungo vyako ili kuhakikisha kwamba zimeelekezwa katika makala sahihi. Kwa mfano, [[Gibraltar]] imelengwa katika makala inayohusu eneo dogo la Kiingereza ndani ya Hispani, wakati [[Mlango wa Gibraltar]] ni jina la makala inayohusu mlango wa bahari kati ya Ulaya na Afrika karibu na Gibraltar.
Tafadhali tazama viungo vyako ili kuhakikisha kwamba zimeelekezwa katika makala sahihi. Kwa mfano, [[Gibraltar]] imelengwa katika makala inayohusu eneo dogo la Kiingereza ndani ya HispaniHispania, wakati [[Mlango wa Gibraltar]] ni jina la makala inayohusu mlango wa bahari kati ya Ulaya na Afrika karibu na Gibraltar.
 
Pia kuna kurasa za kutofautisha "maana" -- hizi siyo makala, bali kurasa zenye viungo vya makala zenye majina ya karibu. Tazama [[Kipanga (maana)]] kwa maana 4 tofauti.