Riyad : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: yo:Riyadh
d roboti Nyongeza: bo:རིས་ཡག; cosmetic changes
Mstari 1:
'''Riyad''' ([[Kar.]]:'''<big> الرياض‎ </big>'''''ar-riyāḍ'') ni [[mji mkuu]] pia mji mkubwa wa [[Ufalme]] wa [[Uarabuni wa Saudia]].
 
Iko katikati ya [[Bara Arabu]] kwenye nyanda za juu za eneo la [[Najd]]. Kuna wakazi milioni 4.3 ambao ni karibu 20 [[%]] za watu wote katika Saudia.
 
== Jiografia ==
Mazingira ya Riyad ni [[jangwa]] lakini mahali penyewe pamekuwa na visima vya maji tangu karne nyingi kuna pia mvua kidogo. Siku hizi maji hupelekwa hasa kwa mabomba kutoka pwani penye vituo vya kuondoa chumvi kwenye maji ya baharini.
Nyanda za juu hupokea kiasi cha mvua hasa wakati wa Aprili.
 
== Historia ==
Miji na vijiji vya mabonde yenye visima ya eneo la Riyad vilikuwa chanzo cha Saudia ya kisasa. [[Familia ya Saud]] ilitawala hapa tangu [[karne ya 18]] na kujiunga na harakati ya [[Wahabiyya]]. Utawala huu ulivunjwa na [[Dola la Uturuki]] katika [[karne ya 19]] lakini Wasaud walirudi mwaka [[1902]] na kutwaa boma la Riyad.
 
Mstari 15:
{{Mbegu-jio-Asia}}
 
[[CategoryJamii:Miji Mikuu Asia]]
[[CategoryJamii:Miji ya Saudia]]
 
[[af:Riad]]
Mstari 25:
[[bg:Рияд]]
[[bn:রিয়াদ]]
[[bo:རིས་ཡག]]
[[br:Riyadh]]
[[bs:Rijad]]