Sumeri : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
niliondoa kiungo cha "interwiki" ya Kiswahili; viungo kama sw:Sumeri ni kwa Wikipedia za lugha nyingine
Mstari 1:
'''[[sw:Sumer]]'''
 
[[Image:Sales contract Shuruppak Louvre AO3760.jpg|thumb|300px|Hati ya Kisumeri yaonyesha mapatano ya kuuza nyumba na shamba]]
'''Sumeri''' ilikuwa kati ya tamaduni za kwanza za juu katika [[Asia ya Magharibi]] na hasa [[Mesopotamia]] ([[Iraq]] ya leo). Labda ilikuwa utamaduni wa kwanza wa kujenga miji.