Dola-mji : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d robot Adding: eo:Urboŝtato
viungo na mpangilio
Mstari 14:
==Dola mji kama jimbo la kujitawala ndani ya shirikisho==
 
Dola mji kama jimbo la kujitawala ndani ya [[shirikisho]] ni kama mfano:
* [[Hamburg]], [[Berlin]] na [[Bremen]] katika Shirikisho la Jamhuri ya [[Ujerumani]]
* [[Vienna]] katika [[Shirikisho la Jamhuri]] ya [[Austria]]
* [[Moscow]] na [[Sankt Petersburg]] ndani ya shirikisho la [[Urusi]],
* [[Addis Ababa]] na [[Dire Dawa]] ambayo ni miji ya kujitawala (astedader akababiwach) katika Shirikisho la Jamhuri ya Kidemokrasia ya [[Ethiopia]]
* [[Ceuta]] na [[Melilla]] ambayo ni miji ya kujitawala (ciudades autónomas) ya [[Hispania]]
 
[[Uchina]] si shirikisho lakini miji ya [[Hongkong]] na [[Makau]] ina madaraka makubwa ya kujitawalanjekujitawala nje ya sheria za Uchina bara.
 
 
Mstari 29:
 
===Dola-miji katika karne ya 20===
Karne ya 20 ilikuwa na dola-miiji kadhaa hasa kati ya [[vita kuu ya pili ya dunia|vita kuu ya kwanza]] na ya [[vita kuu ya pili ya dunia|pili]].
 
* Fiume (Rijeka) katika [[Kroatia]] ya leo
Mstari 37:
 
===Dola-miji ya zamani===
* Miji ya [[Waswahili]] kwenye pwani la [[Afrika ya Mashariki]] ilikuwa dola-miji ya kujitegemea kama vile [[Mombasa]], [[Malindi]], [[Lamu]], [[Pate]] na [[Kilwa]]. Wakati mwingine utawala wao ulienea zaidi, lakini kimsingi ilikuwa kila mji unaotawala eneo lake.
* [[Dola la Ujerumani]] lilikuwa na dola-miji mingi hadi karne ya 19. Iliyobaki hadi leo na hali ya pekee ndani ya shirikisho la jamhuri ni [[Hamburg]] na [[Bremen]]. Mji wa [[Berlin]] ambao leo ni jimbo la kujitegema haukuwa dola-mji katika historia.
 
* Miji ya [[Uarabuni]] ilijitegemea kabisa kwa muda mrefu, kwa mfano [[Maka]] na [[Madina]]
 
* Miji ya [[Waswahili]] kwenye pwani la Afrika ya Mashariki ilikuwa dola-miji ya kujitegemea kama vile [[Mombasa]], [[Malindi]], [[Lamu]], [[Pate]] na [[Kilwa]]. Wakati mwingine utawala wao ulienea zaidi, lakini kimsingi ilikuwa kila mji unaotawala eneo lake.
 
* [[Ugiriki ya Kale]] ilikuwa na dola-miji mingi. [[Athens]], [[Sparta]], [[Korintho]] zilikuwa kwa muda mrefu miji tu pamoja na vijiji vichache. Zilijaribu kupanuka hasa Athens ilifaulu.
 
* Katika [[Italia]] ya [[nyakati za kati]] miji muhimu ilijitawala kabisa. Kati ya dola-miji iliyoweza kupanua eneo lao ni hasa [[Genova]] na [[Venesia]].
 
* [[Dola la Ujerumani]] lilikuwa na dola-miji mingi hadi karne ya 19. Iliyobaki hadi leo na hali ya pekee ndani ya shirikisho la jamhuri ni [[Hamburg]] na [[Bremen]]. Mji wa [[Berlin]] ambao leo ni jimbo la kujitegema haukuwa dola-mji katika historia.