Msaada:Maana : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Makala ya maana''' ina kazi ya kumwelekeza msomaji mahali anapotafuta kama neno moja lina maana mbalimbali. Mara nyingi neno lina maana mbalimbali. Jina maalum inaweza kutaja watu na mahali mbalimbali. Lakini kila makala ya wikipedia inapaswa kuwa na jina tofauti. Kwa sababu hiyo tunapaswa kutafuta majina tofauti kwa makala zinazohusu maana tofauti ya jina lilelile.
[[Picha:Maana.jpg|thumb|300px400px|Mfano wa makala ya maana kuhusu "Mwezi"]]
*"[[Moshi]]" pekee haieleweki hapa kuna majina tofauti kama [[Moshi Vijijini]], [[Wilaya ya Moshi Mjini]] na [[Moshi (mji)]].
* Neno [[Mwezi]] linataja gimba la angani, lakini pia kipindi cha wakati, halafu [[hedhi]] ya wakinamama.