Soko la Hisa la Uganda : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:UGANDA SECURITIES EXCHANGE LOGO.gif|thumb|right|''Nembo'']]
[[Soko la hisa la Uganda]] ni [[soko la hisa]] la pekee nchini [[Uganda]]. Makao makuu yapo [[Kampala]]. Likaanzishwa mwaka 1197 na kuanza shughuli kwenye Januari 1998. Kazi yake inasimamiwa na [[Mamlaka ya Masoko ya Mitaji ya Uganda]] (Uganda Capital Markets Authority) iliyoko chini ya [[Benki Kuu ya Uganda]]. Ni mwanachama wa ushirikiano wa masoko ya hisa ya Afrika.
 
1998 hisa za pekee zilizofanyiwa biashara zilikuwa zile za [[Benki ya Maendeleo ya Afrika Mashariki]] (EADB) na hadi sasa kuna makampuni 9 katika Afrika ya MAshariki yaliyoandikishwa sokoni. Siku za biashara ni Jumatatu, Jumanne na Alhamisi.
 
==Makampuni==