FORD-People : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''FORD-People''' (pia: '''FORD-P''') ni chama cha kisisasakisiasa nchini [[Kenya]]. JinaKwa Kiingereza ni kifupi cha '''Forum for the RestaurationRestoration of Democracy for the People.'''. FORD-PeopleChama hiki ilianzishwa mwaka wa 1997 baada ya farakano la chama cha FORD-Asili.
 
==Chanzo katika FORD-Asili==
FORDChama cha ''([[Forum for the RestaurationRestoration of Democracy]])''[[FORD]] ilikuwandicho kilikuwa chama cha kwanza kujihusisha na harakati na mambo ya kisiasa tangu mwaka wa 1991, iliyopiganiakwa kupigania kuruhusiwa kwa mfumo wa vyama vingi na demokrasia wakatikutoka wakwa [[mfumo wa chama kimoja]] na utawala wa [[KANU]] nchini Kenya. Rais [[Daniel arap Moi]] alilazimishwaalishinikizwa na nchijamii zaya njekimataifa kukubalikuidhinisha uchaguzimfumo wa vyama vingi kwa kubadilisha sehemu [[2A]]ya katiba ya Kenya, iliyozuia kuwepo kwa vyama vingi vya kisiasa.
 
Kabla ya uchaguzi wa 1992 [[FORD]] ilifarakana kati ya wafuasi wa viongozi [[Kenneth Matiba]] kutoka [[Mkoa wa Kati (Kenya)|Mkoa wa Kati]] na [[Martin Shikuku]] kutoka [[Mkoa wa Magharibi (Kenya)|Mkoa wa Magharibi]] kwa upande mmoja na kwa upande mwingine [[Jaramogi Oginga Odinga]] kutoka [[Mkoa wa Nyanza]]. Wafuasi wa [[Odinga]] waliunda [[FORD-Kenya]]. Wafuasi wa Matiba waliendelea kwa jina la [[FORD-Asili]].
 
Matiba alipata nafasiBaada ya piliuchaguzi katikawa uchaguzimwaka wa 1992, na[[Matiba]]aliibuka chamawa pili baada ya kikawa[[rais chamaMoi]], kikubwahivyo chabasi upinzanikuunda bungeni.
 
==Kuundwa kwa Ford-P kutokana na farakano Matiba-Shikuku==
Kabla ya uchaguzi wa mwaka wa 1997 farakanofaragano likatokealilitokea ndanikatika yachama cha [[FORD-Asili]] kati ya mwenyekiti [[Kenneth Matiba]] na [[Martin Shikuku]] aliyekuwa Katibu Mkuu wa chama. [[Shikuku ]]aliyekuwa na wafuasi wengi aliendelea kushikakushikilia hatamu za ofisi ya chama. Nyumba ya ofisi ilikuwa mali ya Matiba aliyefukuzaaliyetimuliwa ofisi ya chama chake. Lakini Shikuku alienda akishika hati ya kusajiliwa kwa chama.
 
Upande wa kundi la Matiba, mwanasiasa [[Kimani wa Nyoike]] alikuwa Katibu Mkuu. Bila mawasiliano na [[Matiba ]][[wa Nyoike]] aliandikisha chama kipya kwa jina la [[Ford-People]] kwa sababu aliogopa kubaki bila chama kamaiwapo [[Shikuku]] angefaulu kutetea haki juu ya kumiliki jina la Ford-Asili. [[Matiba]] aliyekataalikata tamaa kuhusu hali ya siasa alikataa hatua hiina akajiondoa katika shughuli zote za uchaguzikisiasa nchini ujao[[Kenya]]. Hivyo [[wa Nyoike]] alibaki na chama alichokuwa aliandaaakiandaa kwa upande wa [[Matiba]] lakini bila kiongozi huyu.<ref>[http://www.nationaudio.com/elections/politicalparties/Party1.htm Will Nyoike sell Nyachae? - taarifa ya "Nation" 13-05-2002 ilisomwa tar. 5.01-2008]</ref>
 
==Uchaguzi wa 1997==
Wanasiasa wengi wa kundi la [[Matiba]] hawakumfuata [[wa Nyoike]] katika [[Ford-People]] bali walijiunga na vyama vingine. Chama kilishikahiki kilipata viti vitatu katikabungeni bungebaada laya uchaguzi wa mwaka wa 1997. [[Wa Nyoike mwenyewe]] hakufaulu kuingia bungeni. [[FORD-P]] kilitokea kama chama kidogo chenye mizizi katina yaushawishi mwingi kutoka [[Mkoa wa WakikuyuKati]].
 
==Uchaguzi wa 2002==
Kabla ya uchaguzi wa mwaka wa 2002 [[wa Nyoike]] alifaulu kupatana na mwanasiasa [[Simeon Nyachae]] aliyewahi 1999kujiuzulu kuondokakutoka katikakwa nachama cha [[KANU]] mwaka wa 1999. [[Nyachae hakujiunga na umoja wa upinzani ulioanzishwa chini ya [[NAK (Kenya)|NAK]] na baadaye ukajulikana kama [[NARC|Rainbow Coalition]].
 
NyachaeKatika alimalizauchaguzi nafasihuo,[[Nyachae]] yaaliibuka wa tatu katika kura ya urais lakinina [[FORD-People]] ilifaulu kuchukua viti vyote vya [[Kisii]] na kuingia bungeni likiwa na kundi la wabunge 14 hivyo kuwa chama cha tatu baada ya [[NARC]] na [[KANU.]]
 
==Ushirikiano na Kibaki==
TanguKati ya 2003/2004 mafarakano katika serikali ya [[NARC]] yalionekana kabisa hivyo wabunge wa [[FORD-People]] walitafutwa sana na serikali kwa kura zao. Katika mabadiliko ya serikali ya mwaka wa 2004 [[Nyachae]] alikuwaaliteuliwa waziriWaziri ya nishatiwa[[ Nishati]]na chama chake kikaingia kabisa katika serikali ya umoja wa kitaifa tangu 2006.
 
==Uchaguzi wa 2007==
Katika uchaguzi huu wimbi wa chama cha [[ODM]]uliovuma katika sehemu nyingi nchini, ulikifanya chama cha [[Ford-People]] kupoteza viti 11 vya ubunge kikiwemo kile cha[[Nyachae]].
Uchaguzi huu uliona wimbi la upinzani katika majimbo ya uchaguzi ya Kisii yaliyokuwa msingi wa Ford-People tangu.
 
Nyachae hakuchaguliwa tena pamoja na chama kikarudi bungeni kwa viti 3 tu.
==Viungo vya Nje==
* [http://eastandard.net/electionplatform/?id=1143979689 Kisii embraces generational change as Nyachae packs - EA-Standard 30-09-2007 imeangaliwa 5-01-2008]