FORD-People : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 6:
Kabla ya uchaguzi wa 1992 [[FORD]] ilifarakana kati ya wafuasi wa viongozi [[Kenneth Matiba]] kutoka [[Mkoa wa Kati (Kenya)|Mkoa wa Kati]] na [[Martin Shikuku]] kutoka [[Mkoa wa Magharibi (Kenya)|Mkoa wa Magharibi]] kwa upande mmoja na kwa upande mwingine [[Jaramogi Oginga Odinga]] kutoka [[Mkoa wa Nyanza]]. Wafuasi wa [[Odinga]] waliunda [[FORD-Kenya]]. Wafuasi wa Matiba waliendelea kwa jina la [[FORD-Asili]].
 
Baada ya uchaguzi wa mwaka wa 1992, [[Matiba]] aliibuka wa pili baada ya [[raisRais Moi]], hivyo basi kuunda chama cha upinzani bungeni.
 
==Kuundwa kwa Ford-P kutokana na farakano Matiba-Shikuku==