FORD-People : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 22:
 
==Ushirikiano na Kibaki==
Kati ya 2003/2004 mafarakano katika serikali ya [[NARC]] yalionekana kabisa hivyo wabunge wa [[FORD-People]] walitafutwa na serikali kwa kura zao. Katika mabadiliko ya serikali ya mwaka wa 2004 [[Nyachae]] aliteuliwa Waziri wa[[ Nishati]] na chama chake kikaingia katika serikali ya umoja wa kitaifa.
 
==Uchaguzi wa 2007==