Wikipedia:Sanduku la mchanga : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
<big>Mimi ni Solomon Mburu Kamau nilizaliwa mnamo Machi 31 mwaka wa 1981 katika [[Kikuyu]] wilayani [[Kiambu]],(kwa sasa inajulinaka kama [[Kiambu Magharibi]]) katika [[Mkoa wa Kati]].
== Idadi ==
 
Mimi ni mwana wa saba katika familia ya watoto kumi: wavulana wanne na wasichana sita
 
Mimi huzungumza [[Kiswahili]], [[Kikuyu]] na [[Kiingereza]] kwa ufasaha.
 
Nilisomea shule ya msingi ya [[Madaraka]] jijini [[Nairobi]] kisha nikajiunga na Shule ya Upili ya [[Nairobi Milimani]], pia Jijini [[Nairobi]].
 
 
Nimesomea uandishi wa habari na tajiriba yangu huwa uchanganuzi wa mambo ya kisiasa, kiuchumi, kielimu na usitawi wa sehemu za mashambani.
 
Ninapenda kuandika, kusoma na pia kusafiri.
 
 
Kwa hivi sasa mimi ni mkaazi wa [[Ruiru]], katika Wilaya ya [[Thika]]
 
Nilijiunga na shindano hili ili niweze kupanua lugha ya Kiswahili kwa mapana na marefu na kutafsiri kurasa tofauti tofauti zinazojumuisha mambo tofauti yatakayo inua lugha ya Kiswahili katika viwango tofauti tofauti za ustawishaji wa Afrika, kiuchumi, kitamaduni, kisiasa na kibiashara.</big>
 
==Kutia sahihi==
--[[User:Muddyb Blast Producer|'''Mwanaharakati''']] ([[User talk:Muddyb Blast Producer|talk]]) 12:39, 2 Februari 2008 (UTC)