Majilio : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: csb:Adwańt
d roboti Nyongeza: ga:Aidbhint; cosmetic changes
Mstari 3:
Jina lake kwa [[Kilatini]] ni ''adventus'' maana yake ''ujio'' (wa [[Yesu Kristo]]), lakini jina la [[Kiswahili]] ni sahihi zaidi kwa sababu linadokeza kuwa ujio wa [[Yesu]] ni kwa ajili yetu na kuwa alikuja zamani, anakuja kila siku na atakuja kwa [[utukufu]] [[mwisho wa dunia]].
 
== Maana ya Majilio katika maisha ya binadamu ==
 
Sisi [[binadamu]] hatuwezi kuishi daima katika hali ileile bila ya matazamio. Hasa [[kijana]] anatarajia mambo mapya tena mema. Hivyo tunajitahidi kuyapata. Asiyetazamia chochote amevunjika moyo, hana hamu ya kuishi. Lakini matazamio ya kibinadamu yakimfikia mtu hayamridhishi moja kwa moja. Kristo tu anatimiza hamu zote kwa kumkomboa kutoka unyonge. Majilio yanatukumbusha kila [[mwaka]] matarajio ya kweli na hivyo yanaamsha [[hamu]] ya kuishi kwa [[bidii]] ya kiroho.
 
== Majilio katika liturujia ya Roma ==
 
Katika mwaka wa liturujia ya Kanisa la [[Roma]], sherehe ya Noeli inaandaliwa na kipindi cha Majilio ambacho kina mambo mawili: kinakumbusha [[Mwana wa Mungu]] alivyotujilia mara ya kwanza, na papo hapo kinatuandaa kumpokea atakapotujilia tena [[siku ya mwisho]]. Kufuatana na hayo kina sehemu mbili: hadi tarehe [[16 Desemba]] kinahusu zaidi kurudi kwa Bwana; siku nane za mwisho kinatuelekeza moja kwa moja kuadhimisha kuzaliwa kwake.
Mstari 28:
4. Kutunza unyenyekevu kwa kufuata mifano ya maskini wa Injili ambao ndio waliompokea [[Mkombozi]].
 
[[CategoryJamii:Liturujia]]
 
[[an:Abiento (cristianismo)]]
Mstari 45:
[[fi:Adventti]]
[[fr:Avent]]
[[ga:Aidbhint]]
[[gd:Aidmheint]]
[[gl:Advento]]