Sikukuu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: new:बिदा
d roboti Ondoa: new:बिदा; cosmetic changes
Mstari 10:
 
=== Sikukuu za [[Ukristo|kikristo]] ===
* [[Majilio]]
* [[Krismasi]] (Kuzaliwa kwake [[Yesu]])
* [[Epifania]]
* [[Ijumaa Kuu]] (Kifo cha [[Yesu]])
* [[Pasaka]] (Kufufuka kwake Yesu)
* [[Kupaa kwake Bwana]] ([[Yesu]] kuingia mbinguni)
* [[Pentekoste]]
* [[Watakatifu wote]]
 
=== Sikukuu za [[Uislamu]] ===
Sikukuu za kiislamu hufuata [[kalenda ya Kiislamu]]. Kwa hiyo tarehe za sikukuu hizi katika [[kalenda ya Gregori]] hubadilikabadilika.
* [[Ashurah]] tar. 1-10 muharram
* [[Idd-ul-Fitr]] mwisho wa ramadan
* [[Idd-ul-Adha]] tar. 10 dhu l-hija
* [[Mawlidi-ar-Rasul]] tar. 10 rabi' al-auwal
 
=== Sikukuu za [[Uhindu]] ===
* [[Diwali]] pia "Deepavali" - mwezi wa Oktoba au Novemba
 
== Sikuu za Serikali ==
Hutofautiana kati ya nchi na nchi lakini mara nyingi huwa na:
 
* [[Mwaka Mpya]]
* [[1 Mei]]
* sikukuu za kisiasa kama uhuru wa nchi, sikukuu ya kuzaliwa kwa mfalme au rais, kumbukumbukumbu ya mapinduzi n.k.
 
Mstari 74:
[[mk:Празник]]
[[ms:Hari perayaan]]
[[new:बिदा]]
[[nl:Feest- en gedenkdagen]]
[[nn:Heilagdag]]