Majadiliano ya Wikipedia:Kiswahili Wikipedia Challenge/en : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 200:
 
; Q. Je niko sahihi ninavyorekebisha makala nilizokwisha kuziandika wakati nipo katika mashindano?
Pia kwa upande wa interwiki, je ninaziweka katika "Tazama pia" na nisahihi zinavyoonekana kwa rangi nyekundu.
: A. Wakati mashindano yanaendelea unaweza kusahihisha. Mwisho wake wakaguzi wanaangalia matokeo. Inaeleweka ya kwamba wageni wetu wanajifunza kazini.
 
: Interwiki: tazama mfano wa [[Hifadhi ya Serengeti]], utafute kichwa ndani ya en:wikipedia na chukua kutoka huko, halafu uongeze en:JINA katika mabano mraba.
Pia;Q kwaKwa upande wa interwiki, je ninaziweka katika "Tazama pia" na nisahihi zinavyoonekana kwa rangi nyekundu.
: Hapana si sahihi. Interwiki inatakiwa kuonekana nje ya makala yenyewe upande wa kushoto. Unapata tokeo hili ukinakili viungo vya interwiki kutoka lugha nyingine na kubandika chini ya makala yako mwishoni kabiusa. Tazama mfano wa [[Hifadhi ya Serengeti]], utafute kichwa ndani ya en:wikipedia na chukua kutoka huko, halafu uongeze en:JINA katika mabano mraba. (ling. [[Wikipedia:Mwongozo_(Viungo_vya_Wikipedia)#Interwiki|maelezo ya interwiki kwenye mwongozo]].
 
; Q. Some formatting, '''especially the info boxes''', is not transferred fully to the google kit. So what does one need to do about such?
Return to the project page "Kiswahili Wikipedia Challenge/en".