Majadiliano ya Wikipedia:Kiswahili Wikipedia Challenge/en : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 211:
 
:::Haya, labda tu niseme hata wewe hukuangalia vyema wakati wa kuwasilisha makala ya Ugali. [http://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Ugali&oldid=6756 Awali], iliandikwa na [[Mtumiaji:Rerehambegha]]. Baadaye [http://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Ugali&diff=12371&oldid=8162 Kipala] akasawazisha a kuongezea kitu kama "mbegu" na jamii. Kisha Ndesanjo [http://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Ugali&diff=13438&oldid=12371 akaongezea mengineyo] na ladha zaidi. Haikushia hapo, Baba Tabita kaweka [http://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Ugali&diff=17544&oldid=16305 picha] na baadaye [http://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Ugali&diff=331372&oldid=322423 Palsahuman] akafuta na kuanzisha upya ukurasa. Wewe ukaona haitoshi na [http://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Ugali&diff=333773&oldid=331372 kuweka ukurasa wako upya], nami nikaweka kigezo cha [http://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Ugali&diff=333775&oldid=333773 ukweli] wa kutaka kujua kama Ugali ni neno la Kirundi! Baadaye bwana [[Mtumiaji:Wamaiag|Wamaiag]] akaweka [http://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Ugali&diff=333947&oldid=333775 ukurasa mpya] - kuwa badala ya ule wako wewe uliyouweka! Je, hapo tusemeje? Wote hamukuangalia kama makala ipo. Au hamkupendezewa na makala iliyopo na kupelekea kuleta makala mpya. Labda naona niirejeshe ile yako halafu ukurasa niukinge? Basi sina mengi zaidi ya hayo na ukiwa una swali lingine uliza. Nikiwa ninatokea Dar es Salaam, Tanzania, niite Muddyb, au,--<span class="handtekening_lang">[[Image:Flag of Tanzania.svg|20px|Muddyb]] </span><font face="Verdana">[[User:Muddyb Blast Producer|<font color="green"><sub>'''Mwanaharakati'''</sub></font>]]</span><font face="Arial">[[User talk:Muddyb Blast Producer|<font color="blue"><sup><big>'''Longa'''</big></sup></font>]]</span></small></font></font color></font face="arial"> 17:03, 11 Desemba 2009 (UTC)
::Muddy sina uhakika inatokea nini ukitumia vile zana za kutafsiri za google. Je mtu kama amepata pendekezo lile la google na akitaka kuiweka katika sw:wiki ni rahisi kutoona kama kitu kipo tayari kwa jina analochagua?? Au kutoona kitikitu kabisa? Sijui kama hii ni uwivu tu kwa upande wa wageni wetu au tatizo kwenye mfumo wa translate.google? --'''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])''' 04:51, 12 Desemba 2009 (UTC)
Return to the project page "Kiswahili Wikipedia Challenge/en".