Jimbo la Niger : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Sahihisho dogo tu...
No edit summary
Mstari 30:
|}
 
'''Jimbo la Niger ''' ni jimbo upande wa magharibi mwa nci ya [[Nigeria]] na ndilo jimbo kubwa nchini humo. Mji mkuu wake ni [[Minna]] na miji mikubwa mingine ni [[Bida]], [[Kontagora]] na [[Suleja]]. Liliundwa mwaka wa [[1976]] wakati Jimbo la Kaskazini Magharibi liligawanywa na kuunda majimbo ya [[Sokoto]] na Niger.
 
Jina la jimbo hili linatokana na [[Mto Niger]], mbili kati ya stesheni kubwa za kutengezea nguvu za umeme za Nigeria. [[Bwawa]] la [[Kainji]] na Bwawa la Shiroro ziko katika Jimbo hili. Pia kuna Mbuga ya Kitaifa ya Kainji iliyo kubwa zaidi nchini Nigeria na ina Ziwa Kainji.