Majadiliano ya Wikipedia:Kiswahili Wikipedia Challenge/en : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
kuanzisha jamii ya 'makala zenye matatizo'
Mstari 132:
::::Nakubali ni vigumu kufuta mno sasa shauri ya kutokatisha tamaa. Lakini naona pia tusiache michango mibovu jinsi ilivyo. Basi tuweke vigezo vya kuonya maana kila kigezo kinaunda orodha (kupitia "Viungo viungavyo ukurasa huu") na baadaye tunaweza kupanga kupitia orodha hii. Kwa hiyo, labda Muddy na Accountable wasaidie? Napendekeza kigezo <nowiki>{{umbo}}</nowiki> nimeisahihisha kwa kusudi hili. Lina onyo ndani yake, majadiliano ni kwenye ukurasa wa majadiliano ya ukurasa mwenyewe. Kwa njia hii hatujazi orodha ya kufuta sasa na watu wanapata mmuda. Baada ya mashindano tupite (tukiona masahihisho hata kabla).
 
::::Je tunaye mtu anayeweza kutengeneza ukurasa wa kudumu unaoonyesha kurasa zote zenye kigezo cha "umbo" na kujisahihisha yenyewe? Maana anwani hii ingeingia katika kigezo pamoja na ombi la kujiandikisha kwenye ukurasa wake wa majadiliano kama wameboresha makala. Hii ni kama ukurasa wa pili wa "Ufutaji" lakini kwa kazi kidogo zaidi. --'''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])''' 22:20, 8 Desemba 2009 (UTC)
 
:::::Nimetengeneza jamii ya [[:Jamii:Makala zenye matatizo|Makala zenye matatizo]]. Kila ukurasa wenye kigezo cha 'umbo' utaoorodheshwa moja kwa moja kwenye jamii hii. Ila tu, bado haifanyi kazi sawasawa. Labda inabidi tusubiri, seva ipate nafasi ya kujirekebisha. Nitafanya utafiti zaidi baadaye kidogo. '''[[Mtumiaji:Lloffiwr|Lloffiwr]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Lloffiwr|majadiliano]])''' 13:41, 12 Desemba 2009 (UTC)
 
== New questions! ==
Return to the project page "Kiswahili Wikipedia Challenge/en".