Rosa Parks : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d robot Adding: simple:Rosa Parks
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Rosaparksarrested.jpeg|thumb|250px|Rosa Parks wakati alipokamatwa kwa kosa la kutomwachia kiti chake Mwamerika Mzungu]]
'''Rosa Parks''' (Februari 4, 1913 – Oktoba 24, [[2005]]) anakumbukwa kwa uamuzi wake wa kukataa kumpisha kiti Mmarekani mweupe kama sheriaalivyodaiwa ilivyosemana wakatidereva huowa basi. Uamuzi wake huo hapo mwaka [[1955]] ulipelekea mzozo uliosababisha Mgomo wa Mabasi wa Montgomery na kuchangia katika Vuguvugu la Haki za Kiraia Marekani. Baada ya kitendo chake cha kukataa kumpa mtu mweupe kiti ndani ya basi na Mgomo wa Montgomery uliodumu kwa mwaka, Mahakama ya Marekani ilitamka kuwa sheria za ubaguzi ndani ya mabasi huko Alabama na Montgomery zilikiuka katiba.
 
==Viungo vya nje==