Tofauti kati ya marekesbisho "Rosa Parks"

59 bytes added ,  miaka 13 iliyopita
+jamii n.k.
(+jamii n.k.)
[[Image:Rosaparksarrested.jpg|thumb|250px|Rosa Parks wakati alipokamatwa kwa kosa la kutomwachia kiti chake Mwamerika Mzungu]]
 
'''Rosa Louise McCauley Parks''' ([[Februari 4]], [[1913]] – [[Oktoba 24]], [[2005]]) anakumbukwa kwa uamuzi wake wa kukataa kumpisha kiti Mmarekani mweupe kama alivyodaiwa na dereva wa basi. Uamuzi wake huo hapo mwaka [[1955]] ulipelekea mzozo uliosababisha Mgomo wa Mabasi wa Montgomery na kuchangia katika Vuguvugu la Haki za Kiraia Marekani. Baada ya kitendo chake cha kukataa kumpa mtu mweupe kiti ndani ya basi na Mgomo wa Montgomery uliodumu kwa mwaka, Mahakama ya Marekani ilitamka kuwa sheria za ubaguzi ndani ya mabasi huko Alabama na Montgomery zilikiuka katiba.
 
==Viungo vya nje==
* [http://www.rosaparks.org Taasisi ya Maendeleo Binafsi ya Rosa Raymond Parks]
* [http://www.achievement.org/autodoc/page/par0int-1 Picha na mahojian ya Rosa Parks]
 
[[Category:Watu wa Marekani]]
 
[[ar:روزا باركس]]
62,394

edits